Hapa ndio unakosea, hakuna serikali duniani haifanyi kazi kiivo, pamoja na mahitaji lakini pia wanaangalia uwepo fedha (bajeti), mahitaji pamoja na mipango yao hasa ya badae.
Hata kama utumishi walisema wataita watu ndani ya mwezi jua kabisa anayetoa go ahead ya kuita watu sio utumishi bali mwajiri na nadhani unajua mwajiri ni serikali(kwa kesi yenu).. na hata kama hiyo kauli ingetolewa na mwajiri/serikali basi jua wasingeeza itekeleza kama bajeti, mipango na mahitaji havijakaa sawa!
Kama nilivyosema, kwa sasa kama unazingoja basi kuwa mpole mpaka pale wao wenyewe watapoona inafaa kutangaza.
Lakini si unakaa tu aido alafu ukipata nafasi ujikute usha sahau bernoullis equation ni kitu gani au hata hazen williams au headloss ni nini... au hujui hata kutumia EPANET!
Huu ndio muda muafaka wa wewe kujiandaa technically incase hizo nafasi zikiwepo/zikitangazwa na sio kukaa kuumiza kichwa na kuilaumu serikali kwann haitoi majina!
Be patient and Goodluck y'all..!!