Mshahara wa miradi ya RUWASA

Mshahara wa miradi ya RUWASA

Wakuu vp hawa jamaa wa seap program huwa wanatoa chochote? Au ni kwa baadhi ya taasisi tu
 
Hio seap niliacha mimi,,
Hawatoi kitu skuiz na intern zenyewe za skuiz pia kupata sehem wanalipa ata kitu kidg nayo ni inshu..
Magufuli ameharibu sana sehem kibao yani,
Ao Erb skuiz hawatoi sent tano

Ila tanroads na sehem za mamlaka kama mamlaka za maji huwa wanatoa toa au ikoje kwa sehem kama hizo?
 
Sio tanroad ya magufuli,,
Mambo yalikua bila bila.,sijajua sasa labda vit vimebadilika.
Issue ya tanroad ilishawai tokea waliismamia hao hao erb but condition ilikua no financial support.
 
Umeongea kwa hisia san
 
Asee bado ila kikao Cha juzi baina ya aweso na mameneja huenda walijadili tusubiri hizi two weeks zinazokuja
 
Mwamba upo updated san na info
Kawaida coz nime wa follow ukurasa wao wa fb
Maji Tanzania
Ruwasa
So Wana upload video naona juzi palikuwa na kikao Cha aweso na mameneja wote was wilaya nadhani Ni kwenye kumbi za bunge akawaambia kuwa bajeti ishapita na Kuna nyongeza ya billion 200 so wakandarasi wajiandae na utekelezaji...nadhani mameneja wakirudi ofisini kazi ya Kwanza Ni kutuita

By the way pia nahisi wanaweza kusubiri Kwanza mpk zile za kwenye secretariet ya ajira zitoke I mean mpk oral interview kwenye Mwezi wa nane itakuwa so Sina uhakika although nimemtumia meseji katibu mkuu kuuliza Bado hajanijib
 
Katibu mkuu wa wizara ama
 
Ata instagram wapo kwa jina ruwasatz
 
Wakuu mtu wa maji wizarani kanijibu kwamba tuwasiliane na watu wa ruwasa maana yeye inaonekana ni mtu wa wizara hausiki na ku publish vitu vya taasisi nyingine

Kwa hiyo anatushauri tuwatafute ruwasa wenyewe direct
 
Back
Top Bottom