Poa asante kwa mafundi sanifu watasubiri mpka ERB watoe maelekezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa asante kwa mafundi sanifu watasubiri mpka ERB watoe maelekezo
Duuuuh walitutia tamaa bure, bora nilivyokosa.Hakuna hela njaa tupu kuna rafiki yangu alipangiwa morogoro wali sign mkataba miezi mitatu analia njaa tu bora angebaki dukani kwake alipokuwa amejiajiri.
Wapo katika kipindi cha uangalizi na hapo kuna wengine watachujwa mkataba ukiishaDuuuuh walitutia tamaa bure, bora nilivyokosa.
Type of pipesWakuu msaada nawez kuitwa written interview ruwasa katik kipengele cha mechanical technician wapii nipitie nipite apo written
Unazungumzia wanaofanya ruwasa ma wilayan au kwwnye cbwsoWakuu hiv kwa sasa kwa wanaopat la ajira za mikataba kwenye hizi chombo za ruwasa huwa kwa kukadiria wanapokea bei gani
Kwenye cbwcos mkuuUnazungumzia wanaofanya ruwasa ma wilayan au kwwnye cbwso
Mshahara inategemea na makusanyo ya CBWSO kama mnakusanya vizuri mnaweza lipana ad 400kKwenye cbwcos mkuu
Hii ni kwa hadi wahasbu mkuu auMshahara inategemea na makusanyo ya CBWSO kama mnakusanya vizuri mnaweza lipana ad 400k