Mshahara wa mkemia uanaeanza kazi salary scale ipi na je ni tofauti kwa tbs,gcla tpdc na wizara kwa chief pharmacist.

Mshahara wa mkemia uanaeanza kazi salary scale ipi na je ni tofauti kwa tbs,gcla tpdc na wizara kwa chief pharmacist.

Mishahara inatofautiana na taasis husika mkuu! Ila mshahara usikutishe hata ukikuta laki tano nenda utakayokutana nayo huko ni mazuri sana! Maana kuna maslah mengine ambayo sio mshahara yanayotuweka mjini ! Ukisikia ni serikali jua kuwa hapo ni asali tupu! Ilmradi isiwe halmashauri! Huku kwenye taasisi kuna marupurupu kibao! Mara hela ya chai, extra duty,safari, vikao, overtime, mwisho wa mwezi unatoka na hela ya maana mkuu!! Usitishwe na scale za mishahara!
 
Naomb kujuan salary scale ya mkemia kwa tbs,gcla na tpdc,nimr,nm
Umeomba nafasi ya kazi au unatarajia kuomba?Likiletwa tangazo la kazi na kiwango cha mshahara kitawekwa.Hata hivyo,unaweza kuwauliza walio karibu na taasisi/kampuni/mashirika hayo.
 
Back
Top Bottom