Mishahara inatofautiana na taasis husika mkuu! Ila mshahara usikutishe hata ukikuta laki tano nenda utakayokutana nayo huko ni mazuri sana! Maana kuna maslah mengine ambayo sio mshahara yanayotuweka mjini ! Ukisikia ni serikali jua kuwa hapo ni asali tupu! Ilmradi isiwe halmashauri! Huku kwenye taasisi kuna marupurupu kibao! Mara hela ya chai, extra duty,safari, vikao, overtime, mwisho wa mwezi unatoka na hela ya maana mkuu!! Usitishwe na scale za mishahara!