Mshahara wa mpenzi wangu NI TSH 200,000 Kwa mwezi, nikae au nimkimbie?

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Haya mnaolipwa laki 2 naomba mje mumsaidie dada WA watu amekwama huku?

Kwan skuhizi mishahara inaanzia TSH ngap wajameni au ndio vita ya Eukran na Russia imebana Kila kitu mpaka mishahara?

Jamani TSH 200,000 ndio anapewa Benki ishakatwa makodi yote

Ps:
Mpenzi wake nI mwanaume jamaa, sio mwanamke anaomba ushauri NI mwanamke! ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
 
Ukiona huyo mwanamke anajifikiria Mara mbilimbili, inamaanisha kwamba huyo kaka kachagua mke ambaye si type yake. Kuna mwanamke akiskia bwanake anapokea laki 2 ataona mme wangu Ana pesa, Ila kwa mwingine atasema huyu mbona hata nikimuomba vocha ya buku nitakuwa namuonea tu. So huyo jamaa achange karata zake vizuri.
 
Una jua huwa na angalia Sana wadada wenye style hio๐Ÿค”.

๐Ÿ‘‰Hivi mna jus maisha yalivyo magumu, mtu mpaka ajipate Sio rahsi aisee.

๐Ÿ‘‰ Badala ya kum support azidi kupambana, we ndo una fikiria kumkibia. Shame upon you.

๐Ÿ‘‰Ukimwacha halafu aje kutoboa, sijui utasema nini ๐Ÿค”

๐Ÿ‘‰ Kaangalie nyimbo reason by me by rude boy, uta elewa maisha ni uvumilivu na kuaminiana.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ