Mshahara wa mpenzi wangu NI TSH 200,000 Kwa mwezi, nikae au nimkimbie?

Wanaume ndio maana tunazeeka mapema sana, hapo unahitaji akufikishe kileleni, akupende, akutunze, atunze watoto, ndugu zako n.k. Tutafika mbinguni tumechoka sana.
ila leba hamuendi sio?
 
Mke wangu tulianza kipindi nina volunteer silipwi chochote. Wewe ana laki 2 kabisa.

Kanivumilia miaka kadhaa mpaka sasa hivi mambo yamenyooka maisha safi, huwezi niambia anything kuhusu huyu mwanamke nikuelewe.

Hata akhera nitamchangua huyu mwanamke awe mke wangu tena
 
Na bado Una Mcheat😱
 
Laki 2, ni nyingi sana kwenye mahusiano ya kweli.

Acha tamaa jamaa hapo kajitahidi, wapo wanaume wengine hata hiyo hela mwisho wa mwezi hawaioni, wao ni maneno maneno tuu siku nzima . Wanakuja kwetu kugongea diko
 
Mnaishi shamba au Dar?
 
Hay bhana ni maamuzi yako, tusije kupata hukumu wote
 
TANGU LINI MWANAMKE MALIAR AKAWA NA AKILI?
Tangu ulipozaliwa Tu wewe na mama yako
 
Back
Top Bottom