Mshahara wa mpenzi wangu NI TSH 200,000 Kwa mwezi, nikae au nimkimbie?

Haya mnaolipwa laki 2 naomba mje mumsaidie dada WA watu amekwama huku?

Kwan skuhizi mishahara inaanzia TSH ngap wajameni au ndio vita ya Eukran na Russia imebana Kila kitu mpaka mishahara?

Jamani TSH 200,000 ndio anapewa Benki ishakatwa makodi yote

Ps:
Mpenzi wake nI mwanaume jamaa, sio mwanamke anaomba ushauri NI mwanamke! 🏃🏃🏃🏃🏃🏃
Tamaa zitakuua kama unataka hela nyingi kajiuze
 
Una jua huwa na angalia Sana wadada wenye style hio[emoji848].

[emoji117]Hivi mna jus maisha yalivyo magumu, mtu mpaka ajipate Sio rahsi aisee.

[emoji117] Badala ya kum support azidi kupambana, we ndo una fikiria kumkibia. Shame upon you.

[emoji117]Ukimwacha halafu aje kutoboa, sijui utasema nini [emoji848]

[emoji117] Kaangalie nyimbo reason by me by rude boy, uta elewa maisha ni uvumilivu na kuaminiana.

View attachment 2703984
Amsaidie wahangaike wote halafu baadaye wakifanikiwa mwanaume aanze kutembea na wanawake wa type yake, mkuu wanawake siyo kwamba hawapendi kuwasupport wapenzi wao ila wanazijua tabia za wanaume, wa kulaumiwa si wao bali ni wanaume wanaposhindwa kuzuia tamaa zao wakifanikiwa
 
Wanawake wa mjini bhana[emoji4]

Yaan Kuanza na mwanaume from the scratch mnaona ni kazi ngumu Sana

Ndo maana tukizipata huwa tunawakanyaga sana mjini afu tunarud kuoa wa kijijini[emoji4]
Yani wahangaike wote halafu baadaye wakifanikiwa mwanaume aanze kutembea na wanawake wa type yake, mkuu wanawake siyo kwamba hawapendi kuwasupport wapenzi wao ila wanazijua tabia za wanaume, wa kulaumiwa si wao bali ni wanaume wanaposhindwa kuzuia tamaa zao wakifanikiwa
 
Amsaidie wahangaike wote halafu baadaye wakifanikiwa mwanaume aanze kutembea na wanawake wa type yake, mkuu wanawake siyo kwamba hawapendi kuwasupport wapenzi wao ila wanazijua tabia za wanaume, wa kulaumiwa si wao bali ni wanaume wanaposhindwa kuzuia tamaa zao wakifanikiwa
Ila kiukweli Zama hizi, Zime kaa kitapeli tapeli.
👉So WanaUme au Wanawake Hawa was Zama za 95-2000+🤒
 
Kuna jamaa nimetoka kumshauri asije akajikoroga kuoa pisi masikini aka zenye vipengele kwa sababu kama hizi tu... Yaani salary ya mwamba pisi inajewekea na hesabu zake humohumo inajipimia ikiona haikai inatafuta chocho sasa ndo mahusiano gani hayo???
 
Haya mnaolipwa laki 2 naomba mje mumsaidie dada WA watu amekwama huku?

Kwan skuhizi mishahara inaanzia TSH ngap wajameni au ndio vita ya Eukran na Russia imebana Kila kitu mpaka mishahara?

Jamani TSH 200,000 ndio anapewa Benki ishakatwa makodi yote

Ps:
Mpenzi wake nI mwanaume jamaa, sio mwanamke anaomba ushauri NI mwanamke! 🏃🏃🏃🏃🏃🏃
Acha kutusumbua. Kama umeamua kuuza weka wazi ili sisi wadau tununue. Unazunguka sana. Huyo jamaa yako unamwonea tu. Achana nae apate mtu watakaeendana. WEWE NJOO TUUZIE SISI. I will be your loyal customer.
 
Utakuwa Una Afya ya akili
Kapumzike upone
 
Yani wahangaike wote halafu baadaye wakifanikiwa mwanaume aanze kutembea na wanawake wa type yake, mkuu wanawake siyo kwamba hawapendi kuwasupport wapenzi wao ila wanazijua tabia za wanaume, wa kulaumiwa si wao bali ni wanaume wanaposhindwa kuzuia tamaa zao wakifanikiwa
NI kweli kabisa
 
Back
Top Bottom