Lakini sidhani kama huyo kaka anategemea huo mshahara peke yake ,halafu pia wanawake wana standard lazima udate na mtu ambaye unaona kabisa mnaendana hata kimatumizi mfano mewahi kudate na mdada maisha alozoea vocha akihitaji unatakiwa umtumie atleast 10000.Sio kwamba shangingi au Malaya hapana ni standard yake hatu kukaa sana make niliona sina uwezo wa kuendana na Maisha yake,kila mwanamke ana standard yake halafu siku hizi unconditonal love ,kupendwa bure bure imebaki kwa Mama .Lakini mimi sipendagi vizinga kabisa licha ya kujiongeza kutuma miamala ya suprise nikipata hela ,mwanamke akihitaji pesa sipendi anishtukize mfano Naomba hela ya kusuka ,Niboost elfu thelathini kuna mzgo nkachuke hapana ,Unatakiwa unambie mapema eg This month tarehe 20 naomba unisaidie kunifanikishia 70k.ninahitaji kufanya moja mbili tatu hivyo.
All in all usione utamu wa ndizi,Mgomba unahitaji Malezi.Hakuna namna unaweza kukwepa kumhudumia Msichana inaleta heshima ,kumbuka sisi tumeumbiwa kupenda na wanawake hawajaumbiwa kupenda bali kutii ,na kupenda maana yake ni kutoa eg kwa maana aliupenda ulimwengu hadi akamtoa mwanae wa pekee....kwa hyo Unatakiwa utoee na kupitia kutoaa mwanamke atakutii.Amen
Sent from my Infinix X624 using
JamiiForums mobile app