Mshahara wa mpenzi wangu NI TSH 200,000 Kwa mwezi, nikae au nimkimbie?

Mshahara wa mpenzi wangu NI TSH 200,000 Kwa mwezi, nikae au nimkimbie?

Nyapu inahusika maana kwa akili za huyo mwanamke sidhani kama anaweza kuwa hata na mchango wa mawazo yenye manufaa kwa huyo jamaa zaidi ya kutumia nyapu kama bargaining chip
Sasa si Bora Huyo alieuliza, kuliko aliekaa kimya akasepa?!
 
Haya mnaolipwa laki 2 naomba mje mumsaidie dada WA watu amekwama huku?!

Kwan skuhizi mishahara inaanzia TSH ngap wajameni au ndio vita ya Eukran na Russia imebana Kila kitu mpaka mishahara??

Jamani TSH 200,000 ndio anapewa Benki ishakatwa makodi yote

Ps:
Mpenzi wake NI mwanaume jamaa, sio mwanamke anaomba ushauri NI mwanamke! [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Nyingi mno mm hata ambae Hana mshahara kikubwa upendo [emoji4]
 
Back
Top Bottom