Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #41
Ila kuna wanaume wenye hela hawachezei wanawake, ninawafahamu wengi Tu wameoa wadada Hali ya chiniKuanza na mwanaume chini ni bora zaid sema dada zetu hawawezi hilo kwasababu wanaona wanachelewa lkn kama dada huna kipato wanume wenye pesa watakuchezea tu maana wanatafuta type yaoo