Mshahara wa mpenzi wangu NI TSH 200,000 Kwa mwezi, nikae au nimkimbie?

Mshahara wa mpenzi wangu NI TSH 200,000 Kwa mwezi, nikae au nimkimbie?

Haya mnaolipwa laki 2 naomba mje mumsaidie dada WA watu amekwama huku?!

Kwan skuhizi mishahara inaanzia TSH ngap wajameni au ndio vita ya Eukran na Russia imebana Kila kitu mpaka mishahara??

Jamani TSH 200,000 ndio anapewa Benki ishakatwa makodi yote

Ps:
Mpenzi wake NI mwanaume jamaa, sio mwanamke anaomba ushauri NI mwanamke! [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Unazeeka vibaya
 
Ukiona huyo mwanamke anajifikiria Mara mbilimbili, inamaanisha kwamba huyo kaka kachagua mke ambaye si type yake. Kuna mwanamke akiskia bwanake anapokea laki 2 ataona mme wangu Ana pesa, Ila kwa mwingine atasema huyu mbona hata nikimuomba vocha ya buku nitakuwa namuonea tu. So huyo jamaa achange karata zake vizuri.
Doh, same mindset
Nasubiria kusikia Kwa mindset ingine jamaa
 
Umkimbie tena uende wapi 🥴

Kwani umpendea Pesa ?

Tafuteni Plan B hiyo ni changamoto ya kawaida .
 
Una jua huwa na angalia Sana wadada wenye style hio🤔.
👉Hivi mna jus maisha yalivyo magumu, mtu mpaka ajipate Sio rahsi aisee.
👉 Badala ya kum support azidi kupambana, we ndo una fikiria kumkibia. Shame upon you.
👉Ukimwacha halafu aje kutoboa, sijui utasema nini 🤔
👉 Kaangalie nyimbo reason by me by rude boy, uta elewa maisha ni uvumilivu na kuaminiana.
View attachment 2703984
Jaman maisha ya kausha damu magumu nyie
Hata Mungu hapendi maisha ya chini ujue
 
2
Haya mnaolipwa laki 2 naomba mje mumsaidie dada WA watu amekwama huku?!

Kwan skuhizi mishahara inaanzia TSH ngap wajameni au ndio vita ya Eukran na Russia imebana Kila kitu mpaka mishahara??

Jamani TSH 200,000 ndio anapewa Benki ishakatwa makodi yote

Ps:
Mpenzi wake NI mwanaume jamaa, sio mwanamke anaomba ushauri NI mwanamke! 🏃🏃🏃🏃🏃🏃
200000 watu wanaingiza Kwa masaa wengine Kwa sku ,
 
Ukiondoa hiyo 200K ya huyo jamaa what do you (dada wa watu) offer kwenye mahusiano hayo apart from Nyapu (probably inaweza kuwa inanuka pia/ haina maintainance)??
Sasa ulikuja kutukana akina mama au kumsaidia dada WA watu??
Kwan nyie wanaume mna shida ya Afya ya akili au??
Au nawe unalipwa laki 2?!
Sehemu za siri kila.mtu Anazo, na matumizi take yasikufanye utukane
 
Haya mnaolipwa laki 2 naomba mje mumsaidie dada WA watu amekwama huku?!

Kwan skuhizi mishahara inaanzia TSH ngap wajameni au ndio vita ya Eukran na Russia imebana Kila kitu mpaka mishahara??

Jamani TSH 200,000 ndio anapewa Benki ishakatwa makodi yote

Ps:
Mpenzi wake NI mwanaume jamaa, sio mwanamke anaomba ushauri NI mwanamke! [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kimbia kabisa [emoji1787][emoji1787]
Japo inaonekana mpenzi wako ndio kitega uchumi chako, tafuta hela yako usitegemee za wengine

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom