Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
-
- #161
ila leba hamuendi sio?Wanaume ndio maana tunazeeka mapema sana, hapo unahitaji akufikishe kileleni, akupende, akutunze, atunze watoto, ndugu zako n.k. Tutafika mbinguni tumechoka sana.
Tuliaaa wewe,mbona maswali kibao!
Laki 2 mtakula Nene mjini??Tuliaaa wewe,
Kwani ukimwacha hautamkumbuka tenaaa?
Na bado Una Mcheat😱Mke wangu tulianza kipindi nina volunteer silipwi chochote. Wewe ana laki 2 kabisa.
Kanivumilia miaka kadhaa mpaka sasa hivi mambo yamenyooka maisha safi, huwezi niambia anything kuhusu huyu mwanamke nikuelewe.
Hata akhera nitamchangua huyu mwanamke awe mke wangu tena
Mnaishi shamba au Dar?Laki 2, ni nyingi sana kwenye mahusiano ya kweli.
Acha tamaa jamaa hapo kajitahidi, wapo wanaume wengine hata hiyo hela mwisho wa mwezi hawaioni, wao ni maneno maneno tuu siku nzima . Wanakuja kwetu kugongea diko
Hay bhana ni maamuzi yako, tusije kupata hukumu woteLaki 2 mtakula Nene mjini??
Hay bhana ni maamuzi yako, tusije kupata hukumu wote
Tangu ulipozaliwa Tu wewe na mama yakoTANGU LINI MWANAMKE MALIAR AKAWA NA AKILI?