Mshahara wa mwezi Agosti 2021

Mshahara wa mwezi Agosti 2021

Habari waungwana?vipi jamani salary ya august 2021 imetoka??
 
KAMA UKO SERIKALINI NADHANI MPAKA TAREHE 25 NA KUENDELEA HUKO

MKUU NAOMBA NIPIGIE KURA KWENYE LINK HIIhttps://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1903948/ ASANTE
Me tayari. Tumia inbox itakua effective.
 
Hebu nichungulie salio
IMG_20210823_171559.jpg
 
Wakuu tushtuane kale ka meseji kakiingia au mkiona msongamano usio wa kawaida kwenye ATM. Wasiohusika kaeni pembeni
Daaaa ngoja nami nicheki labda wametulia vijisenti vya tumbaku maana tangu mwaka jana tuliahidiwa zinatoka mwaka huu
 
Back
Top Bottom