Mshahara wa mwezi Agosti 2021

Mshahara wa mwezi Agosti 2021

Wachumia tumbo wana shida sana ukiangalia hati zao za mshahara unajiuliza hivi huyu mtu anaishije? na ana kakitambi eti, mimi huwa sielewi kabisaaaaa, sijui kama mnaona wengine shida za watu hawa na ndio mabingwa wa kupiga makofi na kusifia
 
Usichukulie poa kwa kuwa umechungulia salary slip ya mtu. Kuna mambo ya allowance huwa yanatokea mara moja moja na yanasukuma gurudumu vizuri tu
 
Hebu nichungulie salio

Shadeeya umeamua kunifuata huku kabisa! Usinicheke bhana, hizi tozo hizi ndio maana tunajifariji kwenye soka 😂

1629787597697.png
 
ili usipate shida kuhusu mshahara serikalini, baada ya siku ya kulipwa hesabu moja kuanzia siku inayofuata, kama 29 na 30 zitaangukia wikendi hapo utarajie mshahara hautoki mpaka jumanne ya wiki inayofuata, kwahio kuna wakati mshahara hulipwa baada ya siku 31 au 32 na kuna wakati mshahara hulipwa baada ya siku 28 au 29
 
well said na ipo hivyo siku zote na mara nyingi jumatatu salary huwa hawaweki cz ni siku ya kikao kwa idara nyingi
 
Watumishi vuteni subira,

Tunapitia kwanza mchakato wa kukata tozo kidogo ya uzalendo Kwenye mishahara yenu

Mchangie kidogo ujenzi wa vituo vya afya na barabara vijijini
 
Shadeeya umeamua kunifuata huku kabisa! Usinicheke bhana, hizi tozo hizi ndio maana tunajifariji kwenye soka 😂

View attachment 1905831
Kweli kabisa Mtani mie hizo tozo ndo naona zinanizuzua kabisaa.

Sikutegemea atiiii kama waeza anzisha uzi ukiulizia hii kitu.

Nilishawahi muona OKW BOBAN SUNZU naye alianzisha uzi kaa huu mwisho wa mwezi mmoja hivi nikabakiaga nacheka tu. 🤣🤣
 
Usikariri maisha mtani 🤣🤣
Wengine tunakopesha walimu
 
Back
Top Bottom