Mshahara wa Oktoba bado tu?

[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Attachments

  • IMG-20171021-WA0008.jpg
    14.2 KB · Views: 39
Hapo mtu anAhesabu miaka lini atafikisha miaka 60 astaafu anunue gari. Mkiajiriwa mjiongezage jamani na ukiona miaka 5 imepita upo kazini na unaulizia mashahara kila mwezi kama hivi wewe ni mtumwa mambo leo.
 
Laki 5 Take Home. Il kila Mwezi, Kabla sijaipokea Madeni yanakuwa kibao. Hata hapa nadaiwa kama Laki 2 hivi[emoji134] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]

Nasikia usipokuwa unadaiwa hata shilingi utakuwa una matatizo na hasa huku mjini.
 
Hapo mtu anAhesabu miaka lini atafikisha miaka 60 astaafu anunue gari. Mkiajiriwa mjiongezage jamani na ukiona miaka 5 imepita upo kazini na unaulizia mashahara kila mwezi kama hivi wewe ni mtumwa mambo leo.
My sister once told me,,,"Juma kama we ni m2mishi na mwez hata haujafika kat huna hata 10000,hiyo kaz ni bora uache...."nikaa nkafkiri kwa kina mateso nayopta huko mzigon nkaona bora nkae zangu pemben nowaachie ajira yao....yaan dume zima ukiombwa hata lak 1 tu daily huna...
 
Hapahapa ndio nitajua kama Mzigo umesoma ngoja niwahi siti ya mbele kabisa[emoji54]
 
Hahahaha nimejikuta nacheka maana hapa nilipo mmmh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…