kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,058
- 2,175
Nasikia wanangoja zile billion 700 za barrick waongeze mshahara na posho nono kwa wafanyakazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mimi napokea nusu yako, lakini naweza kujimudu hadi mwezi mwingine unaanza.Laki 5 Take Home. Il kila Mwezi, Kabla sijaipokea Madeni yanakuwa kibao. Hata hapa nadaiwa kama Laki 2 hivi[emoji134] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Laki 5 Take Home. Il kila Mwezi, Kabla sijaipokea Madeni yanakuwa kibao. Hata hapa nadaiwa kama Laki 2 hivi[emoji134] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
My sister once told me,,,"Juma kama we ni m2mishi na mwez hata haujafika kat huna hata 10000,hiyo kaz ni bora uache...."nikaa nkafkiri kwa kina mateso nayopta huko mzigon nkaona bora nkae zangu pemben nowaachie ajira yao....yaan dume zima ukiombwa hata lak 1 tu daily huna...Hapo mtu anAhesabu miaka lini atafikisha miaka 60 astaafu anunue gari. Mkiajiriwa mjiongezage jamani na ukiona miaka 5 imepita upo kazini na unaulizia mashahara kila mwezi kama hivi wewe ni mtumwa mambo leo.
Subiri kesho saa saba mchana kitu tayari wewe andaa ki ATM chakoWana Bodi, Sio kwa mfulio huu![emoji134] [emoji24] .
Hela niliyobaki nayo haifiki hata Elfu Tano za Kitanzania.[emoji134] [emoji24]
CRDB wabunifu sanaNipo NMB, Ila kwa hiyo Huduma nitahamia CRDB.
Pole mkuu, mbombo ing'afuWana Bodi, Sio kwa mfulio huu![emoji134] [emoji24] .
Hela niliyobaki nayo haifiki hata Elfu Tano za Kitanzania.[emoji134] [emoji24]