Mshahara wa Oktoba bado tu?

Nchi hii ilivyo na watu wa ajabu si ajabu wapo wanaotazamia ongezeko la mshahara mwezi huu au mwezi ujao.
Hakuna ongezeko la mshahara mwaka huu .
 
Laki 5 Take Home. Il kila Mwezi, Kabla sijaipokea Madeni yanakuwa kibao. Hata hapa nadaiwa kama Laki 2 hivi[emoji134] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
UTAJIJA NYIE NDO MNADANDIAGA MALORI NA MAKOFIA YENU NA MATISHT YA SHIGONGO KWENDA KUPIGA KURA SHAURI ZAKO.............. KAKOPE SERIKALI ZA MITAA NI CCM WENZIO
 
UTAJIJA NYIE NDO MNADANDIAGA MALORI NA MAKOFIA YENU NA MATISHT YA SHIGONGO KWENDA KUPIGA KURA SHAURI ZAKO.............. KAKOPE SERIKALI ZA MITAA NI CCM WENZIO
[emoji15] [emoji134] [emoji24] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
 
Mkuu safi sana...lazima kuwe na nidham kwenye Fedha
 
Signatory wa tatu kwenye mishahara ajasaini bado yupo Ikulu kwenye kalamu ya kuwatunuku vyeti wajumbe wa kamati ya makinikia kwa hiyo mvute subira watumishi [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Signatory wa tatu kwenye mishahara ajasaini bado yupo Ikulu kwenye kalamu ya kuwatunuku vyeti wajumbe wa kamati ya makinikia kwa hiyo mvute subira watumishi [emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani leo maofisini watu wamenunaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…