Mshahara wa Oktoba bado tu?

Laki 5 Take Home. Il kila Mwezi, Kabla sijaipokea Madeni yanakuwa kibao. Hata hapa nadaiwa kama Laki 2 hivi[emoji134] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Aisee ajira za bongo noma sana utakuta mtu hapo ana degree eti anapokea 5 lakhs wakati darasa la saba mwenye business ndogo tu hiyo hela anaipata kwa wiki moja

Kuajiri kada zisizolipa serikalini hela utaishika kama Israel hatachukua ka roho kako kabla ya 55 au 60 utapewa pension million 50 ambayo utaimalizia kwenye ujenzi Na kusomeshea watoto then utaendelea pokea laki tatu baada ya 3 months wakati unasubiri kumalizia 5 au 10 years ufe!
 
Kuishi huko TZ kwenu ni sawa na ndege wa angani...yani Ni taabu tupuu
 
Duuuuu serikali iachie tu mshahara hakuna namna yenyewe hutia tarehe 22 inakuaje hadi haijatoa[emoji134][emoji134]
 
[emoji134] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Sio kweli ndugu yangu, sijawa na umakini mkubwa kiasi hicho, usinivalishe viatu ambavyo vitanipwaya
Kweli man, umenipita mpaka mimi ingawa nategemewa na wafanyakazi na wenzangu wengi wa sekta yangu kuwapa info.
 
Juinge na CRDB Bank upate advance ya salary kwa kutumia simbanking
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…