MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,780
- 2,555
Hahaaaah surprise ya zile bilioni 700 kulipwa kwa wafanyakaziSubirini surprise..hamtaamini!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaah surprise ya zile bilioni 700 kulipwa kwa wafanyakaziSubirini surprise..hamtaamini!
Aisee ajira za bongo noma sana utakuta mtu hapo ana degree eti anapokea 5 lakhs wakati darasa la saba mwenye business ndogo tu hiyo hela anaipata kwa wiki mojaLaki 5 Take Home. Il kila Mwezi, Kabla sijaipokea Madeni yanakuwa kibao. Hata hapa nadaiwa kama Laki 2 hivi[emoji134] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
[emoji134] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Aisee ajira za bongo noma sana utakuta mtu hapo ana degree eti anapokea 5 lakhs wakati darasa la saba mwenye business ndogo tu hiyo hela anaipata kwa wiki moja
Kuajiri kada zisizolipa serikalini hela utaishika kama Israel hatachukua ka roho kako kabla ya 55 au 60 utapewa pension million 50 ambayo utaimalizia kwenye ujenzi Na kusomeshea watoto then utaendelea pokea laki tatu baada ya 3 months wakati unasubiri kumalizia 5 au 10 years ufe!
Bado siku saba, at least kama ingekuwa tarehe 28Unapokea kias gan kwa mwezi ?
Kuanzia leo utaitwa mr.Mshahara maana uko makini sana kwenye issue hiiwenye a/c NMB tayari kitambooooo
Dogo karudie pepar la form sixKuishi huko TZ kwenu ni sawa na ndege wa angani...yani Ni taabu tupuu
Sio kweli ndugu yangu, sijawa na umakini mkubwa kiasi hicho, usinivalishe viatu ambavyo vitanipwayaKuanzia leo utaitwa mr.Mshahara maana uko makini sana kwenye issue hii
Tayari umeishaingia kwenye akaunti kwa wale wanaopokea kupitia NMBWana Bodi, Sio kwa mfulio huu![emoji134] [emoji24] .
Hela niliyobaki nayo haifiki hata Elfu Tano za Kitanzania.[emoji134] [emoji24]
Kweli man, umenipita mpaka mimi ingawa nategemewa na wafanyakazi na wenzangu wengi wa sekta yangu kuwapa info.Sio kweli ndugu yangu, sijawa na umakini mkubwa kiasi hicho, usinivalishe viatu ambavyo vitanipwaya