Mshahara wa Rais Magufuli wawa gumzo Kenya

Mshahara wa Rais Magufuli wawa gumzo Kenya

Huo ni uongo mshahara wake ni zaidi ya 35 miilioni kwa mwezi au zaidi ya milioni 400 kwa mwaka. Huyu muongo anajulikana kwa uongo wake uliokithiri. Kipi kinachomshinda kuweka salary slip yake aliyoahidi hadharani? Acheni kumuamini huyu muongo wa kiwango cha Phd. Mshahara wake ni $192,000 kwa mwaka au sawa na $16,000 kwa mwezi times 2,200 sawa na 35.2 million kwa mwezi.

Below is a brief summary of 30 highest earning African Presidents:

Country Net pay per anum President
1 Cameroon US$610,000 Paul Biya
2 Morocco US$480,000 King Mohammed VI
3 South Africa US$272,000 Jacob Zuma
4 Tanzania US$192,000 Jakaya Kikwete
5 Algeria US$164,000 Abdel Aziz Bouteflika
6 Equatorial Guinea US$150,000 Theodore Nguema
7 Kenya US$132,000 Uhuru Kenyatta
8 Somalia US$120,000 Hassan Sheikh Mohamoud
9 Comoros US$115,000 Ikililou Dhoinine
10 Congo Republic US$110,000 Denis Sassou Nguesso
11 Namibia US$110,000 Hage Geingob
12 Zimbabwe US$108,000 Robert Mugabe
13 Mauritius US$104,838 Ameenah Gurib
14 Cote D’Ivoire US$100,000 Alassane Ouattara
15 Liberia US$90,000 Ellen Johnson Sirleaf
16 Rwanda US$85,000 Paul Kagame
17 Angola US$81,075 José Eduardo dos Santos
18 Ghana US$76,000 John Dramani Mahama
19 Malawi US$75,348 Peter Mutharika
20 Egypt US$72,000 Abdel Fattah el-Sisi
21 Nigeria US$70,000 Muhammadu Buhari
22 Mali US$69,609 Ibrahim Boubacar Keïta
23 Botswana US$66,713 Ian Khama
24 Gabon US$65,000 Ali Bongo Ondimba
25 Zambia US$56,000 Edgar Lungu
26 Dr.Congo US$52,97 Joseph Kabila
27 Swaziland US$52,128 Mswati III
28 Mozambique US$47,500 Filipe Nyusi
29 Ethiopia US$44,472 Mulatu Teshome
30 Lesotho US$36,000 Letsie III
Source yako ni nini??
Yaonyesha unakubali kubali vitu vingi sana kwenye mitandao kama vya ukweli!!
 
Unabisha halafu huna cha kuonyesha kama ni uongo.. unatuwekea jina la wa awamu iliyopita.. duh!!!!

Jisikitikie
 
kenya acheni kutufuata mtaumia sisi tunaigiza ili tuonekane nchi yetu ina demokrasia ili hali si hivyo..ohooo
 
Hivi lini ulisikia tamko la kupunguzwa mshahara wa Rais wa awamu hii!? Kama ulisikia hebu liweke hapa.

Unabisha halafu huna cha kuonyesha kama ni uongo.. unatuwekea jina la wa awamu iliyopita.. duh!!!!

Jisikitikie
 
Aliahidi kuweka salary slip yake hadharani kipi kinamshinda kuthibitisha kauli yake kwamba mshahara wake ni 9.5 million? Nilipoingia kilo
ya sukari ilikuwa 5,000! Na wewe bado huyu muongo wa kupindukia unamuamini!

Source yako ni nini??
Yaonyesha unakubali kubali vitu vingi sana kwenye mitandao kama vya ukweli!!
 
wabongo mwaka huu mtabweka sana kawaida yenu wapinzani kulialia miaka yote na sasaivi mmeshikwa pabaya mkijichanganya tuu.. mnakula kibano cha hatari unataka salary slip ya nn leta salary slip ya mbowe na tunataka na risiti ya efd ya mliyouza chama chenu cha cdm kwa lowassa na risiti za mlio uza madiwani arusha
 
kwa wale wasiolewa non nonesense

no-non·sense

adjective
simple and straightforward; sensible.
synonyms: straightforward, forthright, upfront, pragmatic, down-to-earth, down-to-business, matter-of-fact
"we like your no-nonsense approach"

maana naona kiingereza rahisi tu watu kimewapiga chenga
Ni maajabu makubwa kwamba kuna watu wenye kuchangia mada kama hizi humu na hawafahamu maana ya neno "no-nonsense". Maajabu makubwa kabisa.
 
kenya acheni kutufuata mtaumia sisi tunaigiza ili tuonekane nchi yetu ina demokrasia ili hali si hivyo..ohooo
Sasa nyie mnajibizana,kushindana na kupimana nguvu hivi na majirani wengine hapa JF mfano Malawi ,waZambia ,Uganda,Rwanda au DRC vile mnafanyia waKenya?
 
Yaani JPM na huo udikteta wake wote anapata mshahara sawa na diwani Kenya? Najaribu kuteremsha hata na sharubati lakini wapi bado ngumu kumesa!
 
Back
Top Bottom