herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,967
- 3,212
Hv ni nyimbo gani aliyoicopy coz naona mlibebea bango sana hili swala pia fahamu sometime idea zinaweza fanana tu na sio kucopy
Vp unataka niambia Wiz kid amecopy ile joro kwa John makin Mchele or mnamuona mond tu ndo anakopi...?
Punguzeni chuki thamini vya kwenu
Vp unataka niambia Wiz kid amecopy ile joro kwa John makin Mchele or mnamuona mond tu ndo anakopi...?
Punguzeni chuki thamini vya kwenu