herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,967
- 3,212
hahahaaaa kumbe hana ata pesa ya baiskeli...?Liingie kutoka Wapi? Kashindwa kumnunulia baba yake hata baiskeri ndo Aje anunue bus?
wewe unajielewa Mwanamume mzima kuleta UZI wa mwanamume mwenzakoHujielewi
kwa nn usingekuwa producer. ..?Diamond patnumz naweza sema ndiye msanii mkubwa Tanzania lakini nashangaa kwa nini huwa hana creativity ya kuintroduce kitu kipya kwenye mziki wetu wa bongo fleva yeye ni kucopy tu hadi dance styles.

HahahaahahView attachment 1333786
😀😀 cheki kwanza huo mlango
Aisee.Wewe ni mkubwa kwenye familia yako usha-introduce hata msosi mpya zaidi ya ugari na kunde kilasiku.
Sent using Jamii Forums mobile app
NI MARA NGAPI KWA MSHAHARA WAKO WEWE !!Mkwanja anaovuta Samatta kwa Wiki Domo anausotea Miezi 4-5, Huyu ndo inapaswa ajengewe Sanamu kwa kulitangaza Nchi Kimataifa na kuiongeze nchi kipato kwenye Sekta ya Utalii
Eti Diamond ajengewe Sanamu kwa lipi haswa aliolifanya? Labda akajengewe huko Kwao kigoma..
90% ya Vishabiki vya WCB ni Vi slay queen na Visharobaro uchwara,.
🤣🤣🤣🤣🤣acha kufatilia maisha ya chibu siyo mwenzako au unataka akupumulie?
Kudanga nayo ni kazi?
Hizi chuki bro,zitakutoa roho?!unauliza Mond kafanya nini?Mkwanja anaovuta Samatta kwa Wiki Domo anausotea Miezi 4-5, Huyu ndo inapaswa ajengewe Sanamu kwa kulitangaza Nchi Kimataifa na kuiongeze nchi kipato kwenye Sekta ya Utalii
Eti Diamond ajengewe Sanamu kwa lipi haswa aliolifanya? Labda akajengewe huko Kwao kigoma..
90% ya Vishabiki vya WCB ni Vi slay queen na Visharobaro uchwara,.
Kwahiyo, unataka Mondi akacheze mpira? HAYA, NA WEWE UMEMPITA MONDI MARA NGAPI KIFEDHA?Mkwanja anaovuta Samatta kwa Wiki Domo anausotea Miezi 4-5, Huyu ndo inapaswa ajengewe Sanamu kwa kulitangaza Nchi Kimataifa na kuiongeze nchi kipato kwenye Sekta ya Utalii
Eti Diamond ajengewe Sanamu kwa lipi haswa aliolifanya? Labda akajengewe huko Kwao kigoma..
90% ya Vishabiki vya WCB ni Vi slay queen na Visharobaro uchwara,.