Mshahara wangu ni laki 3 kwa mwezi, nitumie shilingi ngapi kwa siku ili unitosheleze?

duh hatari....sasa kweli mshahara laki 3, ukiwa na familia sii majanga. mwishowe nimeona kwa nini dada zetu inabidi wauze mbususu inderectly
We acha tu mzee wangu, kuna watu wana maumivu n bc tuu
 
Your so brave my brother…

300k ni lawama tupu
 
Nyanya ni anasa?
So wala dagaa wa kuchemsha au?
Huo upuuzi acjaribu kufanya, zen its better ukaelewa mleta mada n mwajiriwa, asipokula nutrient za kueleweka si ataharibu kazi za watu….

Kula must be rule number 1, number 2 and number 3
 
Jitahidi uwe unafunga, kula jioni tu.
Muda wako wa ziada jitahidi kutafuta kitu kingine cha kukuingizia kipato. Tafuta hata watoto wa majirani uwe unawapiga pindi. Anza kujibana na kufanya saving ili ufungue kiofisi cha kuku-boost
Yan nilipwe 300k zen niwe nakula mara 1 kwa siku? Heeeeh
 
Njoo tubet mkuu kama umeshalipwa hyo 300K,
Leo kuna Kengold v Dodoma
Dodoma win ana 2.9 tukizidisha na hyo 300K tunapata 800K baada ya Kodi then ukaanza kuishi kwenye 800K
 
Nyanya ni anasa?
So wala dagaa wa kuchemsha au?
Huo upuuzi acjaribu kufanya, zen its better ukaelewa mleta mada n mwajiriwa, asipokula nutrient za kueleweka si ataharibu kazi za watu….

Kula must be rule number 1, number 2 and number 3
Ushawahi kuishi kwa hicho kipato??

Kuna kipato ukiwa nacho kula vizuri sio kipaumbele ila kula kuishi.
 
Mleta mada ishi hapa, ukiweza kushinda eneo la mlo, umeshinda sehemu kubwa kufanya savings.
 
Pole sana inawezekana uliona laki 3 ni pesa nyingi Anza kubana matumizi acha kununua bando acha kununua mavitu ya kula kula njiani sijui karanga au mahindi pesa yako itumike kununua chakula tu na nyingine sevu
Ukiwa mtaani jua kali,hio ni pesa mingi sana

Ila ukishakua na kazi inaonekanika ni ndogo saaana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…