Mshahara wangu ni laki 3 kwa mwezi, nitumie shilingi ngapi kwa siku ili unitosheleze?

Mshahara wangu ni laki 3 kwa mwezi, nitumie shilingi ngapi kwa siku ili unitosheleze?

Kuna kipind nilishangaa sana kuona mdada anafanya kazi sheli tena analipwa tu laki na nusu kwa mwezi hyo ni hela ndogo sana lakin hapohapo kapanga apartment na ana simu ya laki 8+ na anavaa na kupendeza vizuri sana, Dah hawa wanaweka waangalie hivihivi wana miujiza yao?!!!, 😂😂
Hatudangi,
 
😁😁😁😁🤣🤣🤣 Wengine wana danga na baba zao
 
#1.....30,000 toa Dhaka.

Sado ya mahand na kusaga 2300 wiki.
Dagaa WA 2000 wiki
Mafuta 2000 wiki
Viungo 2000 wiki
Mchele 1.5 3000 wiki. sio lazima super
Chumvi 500 mwezi
Sukar ya 3000 mwenzi
Viungo vya chai 1000 mwenzi

Total 14,800 per week.

Bila kutoa bidhaa za mwezi. 14800 * 4 = 59,200.
Ukiweka dharura ya 20,000 ukitokea hujapata Muda WA kupika, inakuwa 79,200.
Hela ya gesi 20000 nayo Ni ukitokea ndo umejaza.
#2..........Jumla 99,200/=

Umemaliz Kula mwenzi mzima.

#3........... 30,000/= kODI
#4.......... 20,000/= kusaidia wengne

Nguo najua zipo fua piga pasi.
Viatu vipo.... vya kiwi Ni Bora zaidi. Ni kung'arisha tu.

Kwa mwenzi
180,000/= Matumizi Tena hapa nimezidisha sana
120,000/= imebaki

ISHI LEVEL YAKO MKUU 300K na Malengo unatoboa.
Asante sana kaka
 
So utakuwa unafanyia tumbo bila maendeleo
Huu n muongozo tuu mkuu sio lazima uishi nayo kama ilivyo, ila mkuu 😎 kwa ht kama huna pesa ndio ushindwe ht kuweka msosi wa maana ndan?
 
Lakini mkuu tuongee tu ukweli kwa mshahara wa laki 3 kwa mwezi ni ngumu sana kufanya maendeleo yaan ni lazima uwe bahiri kupindukia😂😂
So utakuwa unafanyia tumbo bila maendeleo
 
Utaweka msosi wa maana ukiwa umejiajili mkuu hizi kazi za watu ni mbaya sana hazina muda maalum wa kusitishwa
 
Unaishi mjini au kijijini
Kama ni mjini ni mji gani

Kama unaishi dar tafuta kazi chief laki tatu unataka ikae ikae kwa wapi sasa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom