Mshamba mimi sijawahi kwenda Club/disco, washamba wenzangu tukutane hapa!

[emoji2][emoji2]
 
Tupeni viwanja kwa dsm.. Wengine tuliruka stage acha tufidie
 
Mie enzi zangu nilikuwa nikienda bila chupi kwahiyo nikimkamatia anausikia vizuri ukuni kwenye wowowo lake,ngoja niishie hapa kwanza.
Nalog off
 
Nyie ndo tukiwapeleka siku2 mnajiona
Nyinyi ndo tukiwapeleka siku2 mnajiona maisha mmeyaweza mnaanza kujimwambafai kua
Usije jaribu mkuu utashindikana maana vitu vya ukubwani siyo vizur
 
Kwaio huyu mleta mada anaogopa kwenda club kisa wanauza soda 2000? Kwaio bado unakunywa soda? Hahahahaha siku ukienda Kunduchi Beach Hotel huko soda ya chupa ya 350ml wanauza 10,000 hio ilikua 2011 nadhani ukienda huko unaweza ukazimia
 
siendi
 
Naungana na wewe mkuu, kama ni ushamba basi tena ndio tushakuwa washamba...
 
Ila kwny huu uzi nimesikitika sana sana kwa kweli nilivyokua nawafikiria wana Jf kumbe sio kabisaa,hahah.

Nadhani 80% wana jf angukia kwny tabia kama ya mtoa mada,nimesikitika sana daah.
 
Ila kwny huu uzi nimesikitika sana sana kwa kweli nilivyokua nawafikiria wana Jf kumbe sio kabisaa,hahah.

Nadhani 80% wana jf angukia kwny tabia kama ya mtoa mada,nimesikitika sana daah.
Hahahaha, kwamba wakoje yaani
 
Miye nikisha twanga Pepsi yangu ndani maji tuuu, Keisha habari yangu.
Lakini ukiniona utafikili nimekata vichupa kadhaa za Savana.

πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ salute
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hii mbinu ni hatari sana, hakuna aliyewai kuhoji hiyo hali
Hapana na wao wanaona raha wakibaashiwa,kwahiyo nilikuwa najifurahisha na kuwafurahisha pia,njia hii ilinifanya niwe na mademu wengi na kualikwa sana kwenye mialiko ya mnuso
Nalog off
 
Maeneo gani hayo mkuu mm mwenyewe natafuta siku nataka niende Tanga nikarefresh mind kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…