Mshamba mimi sijawahi kwenda Club/disco, washamba wenzangu tukutane hapa!

Kwahiyo kutokwenda ni ushamba kumbe, basi Mimi ni mshamba pia dooh, mi nilikua naskia hizo disco zinakua na vurugu + kupasuliana vyupa + kubambiwa ovyo dah, huwa nahisi si sehemu nzurii
 
Mkuu bado kinda sana nini?

Hujawa na mpunga bado?
 
Mimi disco toto nimeenda kipindi cha sikukuu na zawadi zao nmechukua sana.
Kwanza nahisi watu walidhani ntakuja niwe mpenda club lakini huwezi amini club nyingi naziona kwenye Google map au labda nipotee njia niishie kuiona milango ya Club japo napenda mziki sana lakini club aisee nimewahi kwenda mara 1 tu ambapo ilivyofika saa6 nikawa na usingizi hauna mfano halafu najiskiaga nalewa hewa ya club hata bila kunywa.
Asilimia kubwa ya watu tusiokunywa pombe sio waendaji club
Napendelea zaidi band aisee nikiweka mario yangu ya franco nacheza pekeyangu ndani nikimaliza naoga nalala
 
Hivi ni kwa nini iliitwa disco toto badala ya hata toto disco?
 
Club nimeanza nikiwa first year ile kukaribishwa tu yan nikaliendeleza had namaliza had sasahivi ni kubadilisha hivyo vibambataa tuu raha kichiz tena ukiwa tungi unaona uko wewe na mshkaj wako na madem wanne kila mmoja wawiliwawili kumbe mpo nyomi..unakamatia msambwanda had unatamani ujimilikishe
 
Na wanaosikiliza wimbo wa Mario wa Franco & Madiluu wengi ni wanywa pombe tena beer....bisha!!
 
Na wanaosikiliza wimbo wa Mario wa Franco & Madiluu wengi ni wanywa pombe tena beer....bisha!!
Sasa mimi sinywi kabisa
Na sijui nikinywa ntakuaje maana hapa nilipo tu akili imelewa naturally
Nikitaka kucheza nacheza nikitaka kupiga kelele kama mlevi napiga [emoji3]...
 
Hakuna cha kushangaza wala kustaajabisha huko Disco/Club...

Mambo ya kawaida tu, pombe, mziki na ngono...


Cc: mahondaw
 
🙆🏽‍♀️🤦🏼‍♀️Kazi ipo JF
Mtu hata club hajawahi fika afu unakuta anatoa ushauri hatari🤦🏼‍♀️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…