Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,535
- 14,840
Daaaaah!! Aiseee...Ule wimbo ulikuwa unaimbwa
Kibuku oyeeee
Hongera, hongera, hongera
Kibuku oyeeeeee
Hongeraaaaaaaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaaaah!! Aiseee...Ule wimbo ulikuwa unaimbwa
Kibuku oyeeee
Hongera, hongera, hongera
Kibuku oyeeeeee
Hongeraaaaaaaaaaaa
Long timeBakari Kassimu Mbelemba ~ Mzee Jangala
U wish ........? FungukaUmenikumbusha mbali sana I wish
Miaka ingerudi nyumaU wish ........? Funguka
Nakunbuka uke mchezo wa Redio ulikua unahusu utunzaji wa Mazingira. Dili zote za Mzee Jangala zilimua against Mazingira. Tukio la mwisho ni alipoanzisha project ya kukata mbao za mikokoVijana wa zamani kama mnakumbuka miaka ya mwishoni 80. Kulikuwa na mchezo wa kuigiza wa redio RTD kila jumapili usiku yani watu hawakosi ikifika tu saa mbili usiku jumapili watu wameshajikusanya karibu na redio.
Mchezo huo ulikuwa unadhaminiwa na kibuku. Mzee Jangala alikuwa maarufu sana na kijana wake Mshamu. Kuna episode flani ilibamba sana hadi kesho yake jumatatu ikawa gumzo kila mahali mitaani. Mshamu alivyomvamia baba yake Jangala kalewa na masela wake na kumpiga na kumuibia hadi Jangala akamlaani huku akikimbia. Marafiki zake Mshamu wakawa wanamcheka na kusema huu msemo "Acha masikhara wewe dingi lake mshamu anayeya kama pajero".
Huyu mshamu yuko wapi siku Hizi na jina lake kamili?
Wanajamvi jukwaa lenu