Mshana embu kuja hapa

lolypop

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
2,430
Reaction score
1,688
Leo oct 27 usiku mnampango gani wachawi. Maana naona wachawi wa USA wanacelebrate embu utujuze kuna nini? Na hii "2731" namba maana yake nini?

Rakim
 
Ukijumlisha hizo number unapata no 13... Namba inayoogopeka mno kwa wazungu ambapo kwa walozi wa huko hiyo ndio sikukuu yao ambayo huambatana na mwandamo wa mwezi
Leo oct 27 usiku mnampango gani wachawi. Maana naona wachawi wa USA wanacelebrate embu utujuze kuna nini? Na hii "2731" namba maana yake nini?
View attachment 1246733View attachment 1246735View attachment 1246736
Rakim
Mshana ataziweza hizi ndumba za watengeneza Boeing[emoji89]
 
Hizo ni formalities tu.... Kila kitu kina pande mbili na mizania pia... Lazima kuwe na balancing
Alhamis hii tarehe 31 ni sikukuu ya wachawi “haloween”. Msijihusishe kwa chochote kama vile kuvaa mask au mavazi ya kutisha bali salini na kuomba kuvunja nguvu zao.
 
Agriiiiiii....
hey am here!,
happy haloween day October 31..yeeyaaah...
Yesterday 27th moon came darkly,mngao wa mwezi hujichanganya na nyota,au mwezi huonekana kama nyota its a magician empowering day.
HAPPY HALOWEEN.
NAAMAH..!
(naamah ni ameni apewayo lucifer)
 
[emoji848][emoji44][emoji44][emoji44][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu mbona unamuogelea mtu kama unajua ratiba zake za maisha. Unafikiri kila mtu anashinda JF kama wewe
hivi nimekuita? au ndio mrs.mshana?

ebu ukiona hii ID usipende i fatilia sanaaa

hujui hata mimi na huyo mshana tukoje so kaa kimya

unapoona ID moja ina tuhumu ID flani kaa kimya kabisa.

Nimemaliza.
 
hivi nimekuita? au ndio mrs.mshana?

ebu ukiona hii ID usipende i fatilia sanaaa

hujui hata mimi na huyo mshana tukoje so kaa kimya

unapoona ID moja ina tuhumu ID flani kaa kimya kabisa.

Nimemaliza.
Tumia akili wewe,shida zako na yeye usizilete kwenye thread za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…