Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Yeah.... I know
#mshana_jr naona unashangaa kweli but its real and facts...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
#mshana_jr naona unashangaa kweli but its real and facts...!
thread za watu! sisi (mimi na mshana) ni waduduTumia akili wewe,shida zako na yeye usizilete kwenye thread za watu.
Kweli kabisa mkuu!Tumia akili wewe,shida zako na yeye usizilete kwenye thread za watu.
Kila kitu kina misingi yake... Misingi hubaki ileile, tofauti inakuja kwenye mengine na vingine lakini sio misingi
Mhu kaa mbalihivi nimekuita? au ndio mrs.mshana?
ebu ukiona hii ID usipende i fatilia sanaaa
hujui hata mimi na huyo mshana tukoje so kaa kimya
unapoona ID moja ina tuhumu ID flani kaa kimya kabisa.
Nimemaliza.
Ngoja kwanza......Kwani we jamaa ni mchawi au mganga
HAKIKA HAPA PANA TABU SANA MAANA,MCHAWI HUWEZA KUUMIZA NA KUOPOA,NA MGANGA HUWEZA KUOPOA NA KUUMIZA PIA! 😛Kuna tofauti ndogo sana hapo
Big up...umemjibu kwa hekima kubwa mno.Asante kwa mtazamo hasi... Siwezi kukuchukia kwa hili... Nimeshafika na nimeshamjibu
Una WIVU Kama Nyumba NdogoUkimuita mshana haji anajionaga keki ya harusi
anaangalia thread kaanzisha nani,haka ka jamaa
nakaonaga kama ka bi chau
Big up...umemjibu kwa hekima kubwa mno.
Hizo ni formalities tu.... Kila kitu kina pande mbili na mizania pia... Lazima kuwe na balancing
Ukimuita mshana haji anajionaga keki ya harusi
anaangalia thread kaanzisha nani,haka ka jamaa
nakaonaga kama ka bi chau
Kaka mshana habari ya kuamka..hivi huko Ulaya wachawi wa huko nao wanatumia ungo na wanavaa kaniki kama huku?
Shukrani kwa ufafanuzi huu, wazungu bana hawajifichi uchawi wao ni wazi kabisaUkijumlisha hizo number unapata no 13... Namba inayoogopeka mno kwa wazungu ambapo kwa walozi wa huko hiyo ndio sikukuu yao ambayo huambatana na mwandamo wa mwezi
Hatari sana, Wao wananguvu sana kuliko wachawi wa huku