Mshana embu kuja hapa

Mshana embu kuja hapa

Tumia akili wewe,shida zako na yeye usizilete kwenye thread za watu.
thread za watu! sisi (mimi na mshana) ni wadudu

asee sikujibu tena we nshakuona ni mganga wa kienyeji

unatafuta wa kwenda mchukua msukule usiku wa leo.
 
Tumia akili wewe,shida zako na yeye usizilete kwenye thread za watu.
Kweli kabisa mkuu!
Kuna watu wengine humu wanaandika kwa kutishia wengine na dharau kibao..pia kujifanya wana hasira.

Mtu Ukishaweka bandiko hadharani ujue halikuhusu tena..ni mali ya wasomaji.
Kaa pembeni, laa sivyo ulifute.
 
Kaka mshana habari ya kuamka..hivi huko Ulaya wachawi wa huko nao wanatumia ungo na wanavaa kaniki kama huku?
Hizo ni formalities tu.... Kila kitu kina pande mbili na mizania pia... Lazima kuwe na balancing
 
Alhamis hii tarehe 31 ni sikukuu ya wachawi “haloween”. Msijihusishe kwa chochote kama vile kuvaa mask au mavazi ya kutisha bali salini na kuomba kuvunja nguvu zao.
Asante sana! Kweli tusimame kwenye nafasi zetu
 
Ukijumlisha hizo number unapata no 13... Namba inayoogopeka mno kwa wazungu ambapo kwa walozi wa huko hiyo ndio sikukuu yao ambayo huambatana na mwandamo wa mwezi
Shukrani kwa ufafanuzi huu, wazungu bana hawajifichi uchawi wao ni wazi kabisa
 
Back
Top Bottom