Mshana embu kuja hapa

Mshana embu kuja hapa

"Ukijumlisha hizo number unapata no 13... Namba inayoogopeka mno kwa wazungu ambapo kwa walozi wa huko hiyo ndio sikukuu yao ambayo huambatana na mwandamo wa mwezi"

Miezi mingine ina kiherehere yaani unaandama tarehe 13. Ahsante kwa hii elimu Rumburiya.
 
Hivi hao wazungu uchawi wao wanaufanya wazi wazi ama wanajaribu kushawishi watu wengi zaidi wawe wafuasi wa lucifer. maana kuna kipindi nilikuwa huko hiyo wanayoita haloween, yaani mivinyago ya kutisha na minguo myeusi inauzwa kwenye supermarkets na sokoni.
 
images (19).jpeg
 
Back
Top Bottom