Hapana hakuna vita hapa bali ni mjadala wa kujengana kirohoNipo kushuhudia vita ya wachawi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa watu waroho ngoja tuwaachie uwanja...😂Hapana hakuna vita hapa bali ni mjadala wa kujengana kiroho
Wachawi mmekutanaIpo hivi wachawi hawapatan baadhi ya aina za maji na sio kila maji, nitaelezea hapa chini
Maji ya mvua !!! Sote tunajua kuwa mvua analeta Mungu sasa maji ya mvua na uchawi ni balaa tupu haviivi hata kidogo na ndio maana kuna baadhi huenda angani kuzuia mvua isinyeshe
Kaaa kimya kabisa[emoji34][emoji35]Sawa watu waroho ngoja tuwaachie uwanja...[emoji23]
[emoji3064][emoji3064][emoji3064]THE BATTLE OF THE WITCHES PART TWO! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Inategemea na kitengoVIP maji ya mende! Wachawi hawayaogopi?
Fita ni fita muraaaaaaaNipo kushuhudia vita ya wachawi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kaaa kimya kabisa[emoji34][emoji35]
Akili zako zinakutosha mwenyewe[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3]kabla sijafanya hivyo naomba nipatiwe link husikaKwa heshima na taadhima ninamuomba his malevolent sir mshana jr,the great wizard, ikimpendeza aseme neno la kukanusha au kukubali kwamba ni muongo
Unaweza kukuta huyo ni mtu mmoja tu, kaja huku kujianzishia thd! JF ina mambo mengi sana.Kwahiyo?
Tayari Uzi!!
Si ungemquote kwenye Uzi wake,
[emoji3]kabla sijafanya hivyo naomba nipatiwe link husika