Mshana Jr acha uongo wachawi hawaivi na aina ya maji na sio kila maji

Mshana Jr acha uongo wachawi hawaivi na aina ya maji na sio kila maji

Sikia ww ucfikir sis darasan hatukwenda najua kila kitu kuhusu hii dunia achilia mbali process za formation of percipitation GOD is behind all
Umenena vyema mkuu nami nakubaliana nawe, even before the Big Bang God is behind everything, so hizo intellectual tunazozisoma ni reference tu lakin God is beyond space, matter and Time.
 
Kuna vita kubwa tu lakini ni mpaka mdogo alete uchokozi kwa mkubwa
Mkuu ufafanuzi wako tafadhali, kukingana na hii clip je, cctv camera zina uwezo wa kunasa vigagura kweli ama ni bongo muvi wako location?
 
Attachments

  • E6F23B4C-B04B-49B2-A467-B17B01229BF2.MP4
    7 MB
Mkuu ufafanuzi wako tafadhali, kukingana na hii clip je, cctv camera zina uwezo wa kunasa vigagura kweli ama ni bongo muvi wako location?
CCTV zina uwezo wa kunasa mpaka UFO na viumbe roho wengine.. Hiyo clip ilipigwa kwa kutumia simu toka kwenye screen ya CCTV.
 
Back
Top Bottom