Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Uchawi nguvu roho isiyohitaji kujidhihiri kama unavyotaka wewe ...uchawi upo ni juu yako kuamini ama laNatafuta mtu wa kuniroga ili nijue kuwa kweli uchawi upo.Binafsi naamini sana ktk Imani yangu ya Kikristo.Naamini Mungu ndio master wa kila kitu.