Ipo hivi wachawi hawapatan baadhi ya aina za maji na sio kila maji, nitaelezea hapa chini
Maji ya mvua !!! Sote tunajua kuwa mvua analeta Mungu sasa maji ya mvua na uchawi ni balaa tupu haviivi hata kidogo na ndio maana kuna baadhi huenda angani kuzuia mvua isinyeshe
Maji ya bahari !!! Hii nadhani mshana ashalezea maji hayo yana chumvi na hivyo yana sifa ya kuzuia uchawi pia huko baharini kuna mapepo makubwa hivyo wachawi hawawezi kufua dafu so proved uchawi haukatizi bahari unaweza mloga mtu asitibiwe hapa ila akaenda India akatibiwa vizuri tu
Maji ya baraka !! Uchawi na maji ya baraka haviivi ukirusha maji ya baraka mahali penye uchawi yanarudi tena kwenye chupa yaani ni kama rewing fulani hivi
Sasa kuna maji ambayo wachawi huyachezea vzr tu ni maji ya mito.mabwawa na maziwa haya maji yaogope sana wachawi wanayatumia sana tu
Na pia kwa kukuongezea kuna haya maji ya visima virefu underground water haya pia wachaw wanaogopa sababu yana chumvi