Mshana Jr acha uongo wachawi hawaivi na aina ya maji na sio kila maji

Mshana Jr acha uongo wachawi hawaivi na aina ya maji na sio kila maji

Vyeo vya wachawi vinapatikana kwa kumwaga damu nyingi na ile inayouma (ya familia au ndugu)
Utambuzi wake kwa wasiojua ni mabangili na pete za shaba
Kila Pete moja inawakilisha nafasi moja na bangili vilevile
Kwa baadhi ya makabila utambuzi ni mavazi au shanga na wengine ni idadi ya chale mwilini ama makovu ya moto na visu mwilini
Utambuzi kwa njia ya mwanga ni too professional na ni kwa high ranks
Mshana Jr,sasa mbona nikiwacheki Wasukuma na Wamasai wanavaa sana hayo mabangili,je nao ni washirikina?
 
"Sasa kuna maji ambayo wachawi huyachezea vzr tu ni maji ya mito.mabwawa na maziwa haya maji yaogope sana wachawi wanayatumia sana tu"

Kwahiyo maji hayo wachawi hawayaogopi kwa kua hayajaletwa na Mungu?
 
Uchawi sio visible ni jambo la kiroho zaidi lisilo na ithibati za kisayansi
Uchawi sio substance kwamba utauona kwa macho
Uchawi ni nguvu ambayo huthibitika kwa matokeo na si mchakato
Dah!!!!,Kwa hiyo ni vigumu hata kuelezea MKUU ??,
 
Kila kitu duniani kina upande wa pili ama kina kinyume chake ....
Uchawi ni kinyume cha Nuru...ndio maana unaitwa nguvu za giza
Shetani ni kinyume cha Mungu...na shetani ndio mkuu wa giza
Freemason ni sehemu ya mkakati wa shetani wa kuchota waumini kama ilivyo kwa uchawi tuu
Wakati uchawi ukijipambanua kama nguvu hasi ya moja kwa moja freemason inajipambanua kama kaliba ya juu na ya kuheshimika
So to be blunt..waumini wote wa uchawi na freemason wanajua wanayemtumikia?Au kuna blind sheep.

Ni kweli wachawi rank za juu huenda kuzimu/huwasiliana na lucifer?
 
So to be blunt..waumini wote wa uchawi na freemason wanajua wanayemtumikia?Au kuna blind sheep.

Ni kweli wachawi rank za juu huenda kuzimu/huwasiliana na lucifer?
Kuingia huko ni lazima ule kiapo cha kumtumikia shetani ni kama tu kusilimu ama kubatizwa
Ranks zote zina connection na kuzimu
 
Kuingia huko ni lazima ule kiapo cha kumtumikia shetani ni kama tu kusilimu ama kubatizwa
Ranks zote zina connection na kuzimu
help me understand this logic.
Kama wanajua pande zipo mbili
Mwanga na Giza
Wanajiunga upande wa giza wakijua kabisa huu ni upande wa giza
Wanaupinga vikali upande wa mwanga

Je,Wanaamini upande upi wenye nguvu?wanaamini upande upi upo sahihi?
 
Giza lina ushawishi mkubwa kuliko mwanga
 
Ni lazima nibubujike kwa hisia maana ile nafasi moyoni mwangu bado ii wazi na weye ndo wakuiziba! Ni vile tu naogopa kusema ndo maana najiumauma!

Moyo unakutaka tena kwa bashasha!.. mtoto hurulaini uliejaa matumaini.. sema nami mrembo nikulembwekeze mamii...😉
Unafunguka yote hayo mala paa nimama ako mzazi, sorry nimewaza2 kwa saut me napita2🚶🚶🚶
 
Back
Top Bottom