[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Imani ikipitiliza, unakufa ukiwa mjinga. Angalia kwa mfano, kote walikozaliwa mitume ni shida tupu. Sometimes, kwenye maisha BUSARA NA HEKIMA ni vitu vyema sana.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Namuelewa mshana umu ndani balaa bold akasome
Naona tumekutana tena huku.. Huku nimepewa cheo cha agent wa shetani na si mcha Mungu na mwamini wa Mungu mmoja mkuu mwenye enzi yote, mweza wa yoteMkuu siku nyingne unatakiwa uweke japo ushahidi kdg ili watu waone unayosema yana ukweli maana yawezekana ktk threads zake ww unashindwa kuelewa anachomaanisha umeshajenga kutokuwa na imani nae hivyo kwa lolote atavyosema hamtoelewana
[emoji102] [emoji144] [emoji3] hapana naona siku hizi tunaelewana sasa, bado visiki na magugu machache tu ya kumalizia kung'oa... Baada ya hapo ni kutangaza ushindiitachukua miaka kama 1000 watu kuja kukuelewa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji102] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]mshana sio agent wa shetani. ni mtaalam wa tiba na uchawi. na uchawi sio ushetani. nampenda sana mshana. ndio mwana jf ninayempenda kuliko wote
[emoji3] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Wewe kama haumuelewi mshana itakua na wewe haujielewi pia vile vile!
Jamaa namsomaga sana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kufa maskini ni ufala tuu...!Mnaacha kuwasema viongozi wenu wa Dini wanaogonga Bapa mnamsema Mshana
Halafu j2 unampelekea sadaka[emoji3] [emoji3] [emoji3] kufa maskini ni ufala tuu...!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] hebu ona hawa hapaHalafu j2 unampelekea sadaka
Naona tumekutana tena huku.. Huku nimepewa cheo cha agent wa shetani na si mcha Mungu na mwamini wa Mungu mmoja mkuu mwenye enzi yote, mweza wa yote
Mm hata siwalaumu wao, najiuliza hao wafuasi wao kama Oblangata zao ziko sawa[emoji3] [emoji3] [emoji3] hebu ona hawa hapa View attachment 791891View attachment 791892
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nilivyoelewa shida inakuja km ukishindwa kuelewa kitu Na ukashindwa kuuliza kwa wengine ili ufafanuliwe mtoa Uzi huenda anapata taabu anaposoma threads zako mfano ktk ile ya sigil pale juu uliposema uchawi wa sigil sasa watu km hawa Mpk waelewe ni ngm kujua kwa uraisi kwng mm sigil si km uchaw wa manyau nyau,vinyamkera
Huwa kuna kitu kinawekwa kwenye mlango wa hilo kanisa kinawapumbaza.. Radio mbao zinasema ni mambo ya kishirikinaMm hata siwalaumu wao, najiuliza hao wafuasi wao kama Oblangata zao ziko sawa