Mshana Jr, agent wa Shetani JF?

Mshana Jr, agent wa Shetani JF?

Imani ikipitiliza, unakufa ukiwa mjinga. Angalia kwa mfano, kote walikozaliwa mitume ni shida tupu. Sometimes, kwenye maisha BUSARA NA HEKIMA ni vitu vyema sana.
[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Mkuu siku nyingne unatakiwa uweke japo ushahidi kdg ili watu waone unayosema yana ukweli maana yawezekana ktk threads zake ww unashindwa kuelewa anachomaanisha umeshajenga kutokuwa na imani nae hivyo kwa lolote atavyosema hamtoelewana
 
Naona tumekutana tena huku.. Huku nimepewa cheo cha agent wa shetani na si mcha Mungu na mwamini wa Mungu mmoja mkuu mwenye enzi yote, mweza wa yote
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mshana
IMG_20180515_212934_350.jpg

FEAR OF THE UNKNOWN
 
itachukua miaka kama 1000 watu kuja kukuelewa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji102] [emoji144] [emoji3] hapana naona siku hizi tunaelewana sasa, bado visiki na magugu machache tu ya kumalizia kung'oa... Baada ya hapo ni kutangaza ushindi
 
mshana sio agent wa shetani. ni mtaalam wa tiba na uchawi. na uchawi sio ushetani. nampenda sana mshana. ndio mwana jf ninayempenda kuliko wote
 
mshana sio agent wa shetani. ni mtaalam wa tiba na uchawi. na uchawi sio ushetani. nampenda sana mshana. ndio mwana jf ninayempenda kuliko wote
[emoji102] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Wewe kama haumuelewi mshana itakua na wewe haujielewi pia vile vile!
Jamaa namsomaga sana
 
Naona tumekutana tena huku.. Huku nimepewa cheo cha agent wa shetani na si mcha Mungu na mwamini wa Mungu mmoja mkuu mwenye enzi yote, mweza wa yote

Nilivyoelewa shida inakuja km ukishindwa kuelewa kitu Na ukashindwa kuuliza kwa wengine ili ufafanuliwe mtoa Uzi huenda anapata taabu anaposoma threads zako mfano ktk ile ya sigil pale juu uliposema uchawi wa sigil sasa watu km hawa Mpk waelewe ni ngm kujua kwa uraisi kwng mm sigil si km uchaw wa manyau nyau,vinyamkera
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom