Mshana Jr, agent wa Shetani JF?

Mshana Jr, agent wa Shetani JF?

Akitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...

Sasa amekua kinara katika mada zote za kishetani hapa jukwaani JF... Na kwa kuwa Jf kila mtu anavutiwa na mada hizi za kutisha na kustaajabisha...basi amepata wafuasi wengi akiwafundisha na kuwaelewesha na polepole kuwaelekeza namna ya kufanya...si tu katika meditation bali pia katika vitu hatari kama viapo vya damu,uzuri wa shetani,eti lucifer sio shetani...na mengine mengi ambayo amekua akiyatoa....

1) Kuweni makini na anayoyasema
2) Na muwaze na kuamua ni kwa faida ya nani mnajifunza haya
3) Mkajiulize je Mungu wenu anafurahia hayo?
4) Na kwann watu wengi mnaotaka sana kujua haya ni wakristu?
5) Muogopeni mno...anataka kuwapotosha imani yenu

Hayo ni maoni yangu..

Naona Mshana Jr. Kakutumia jini umpromoti.
 
haya mambo yapo toka enzi maamuzi ni yako kuyafata au kutoyafata. Tumia akili kuchambua mambo ndugu
sijakataa...ila huoni huu ni ulozi...wa wazi wazi halafu mnasema ni mambo ya kizungu????...hapo bro ulitaka nitumie akili gani....?
 
Asante kwa kunijuza ngoja nianze kumfuatilia post zake zinapatikana jukwaa gani.... mana ninavyopenda mada za hivyo
kwa signature yako na unayoyaandika...nachelea kusema........unajiingiza kwenye kitu kilichokuzidi umri...na akili...maaana hufatilii unavyoamini...ila unatamani maarifa mapya kutoka kwa binadamu....na unaacha maarifa ya Muumba wako...
 
sijasema ya kizungu. ila tuwe makini sana katika maamuzi. hata kwenye maandiko yapo.
mwaka 1999 nilisoma kitabu kinaitwa Yoga na Mkristu...nilishangaa mno...nilikinunua bookshop ya kanisa katoliki pale Moshi mjini...nilijiuliza maswali mengi mno...hv kitu hichi inaweza kuunganika na hichi? yaani mafuta yachanganyike na maji...no way....niligoma nikaenda hadi kwa paroko.....karibia nihame ukatoliki...bahati nzuri...tulikubaliana kile kitabu ni upotoshaji na kikaondolewa pale library....MUNGU....hachanganyiki na uovu...na yoga...na meditation...na budhism...na mambo yote ya tripitaka ni evil cult....hayo ndio maamuzi niliyoyafanya
 
mleta mada mi nakushauri tu kuliko kuonesha shuki au hasira wewe uwe una anzisha threads uwafundishe wana jf juu ya Mungu wa kweli unayemwamini.

wewe kitu kama hukiamini achana nacho unafuatilia cha nini? wengine wanafuatilia tu for fun( sawa na kuona horror movies)
 
mwaka 1999 nilisoma kitabu kinaitwa Yoga na Mkristu...nilishangaa mno...nilikinunua bookshop ya kanisa katoliki pale Moshi mjini...nilijiuliza maswali mengi mno...hv kitu hichi inaweza kuunganika na hichi? yaani mafuta yachanganyike na maji...no way....niligoma nikaenda hadi kwa paroko.....karibia nihame ukatoliki...bahati nzuri...tulikubaliana kile kitabu ni upotoshaji na kikaondolewa pale library....MUNGU....hachanganyiki na uovu...na yoga...na meditation...na budhism...na mambo yote ya tripitaka ni evil cult....hayo ndio maamuzi niliyoyafanya

ila usimuhukumu mshana jr moja kwa moja. kinachotakiwa tujifunze yaliyo mazuri mkuu.

nakupongeza kwa ujasiri ulioufanya kuhusu hicho kitabu na kuongea na padri. tuishi maisha ya kumpendeza Mungu tu.
 
Last edited by a moderator:
ila usimuhukumu mshana jr moja kwa moja. kinachotakiwa tujifunze yaliyo mazuri mkuu.

nakupongeza kwa ujasiri ulioufanya kuhusu hicho kitabu na kuongea na padri. tuishi maisha ya kumpendeza Mungu tu.
sijamhukumu....nimemtuhumu....hivyo ni vitu viwili tofauti....kabisa
 
Back
Top Bottom