Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lete ushahidi wa kutosha kuhusu uajenti wake.Mshanar Jr watu tume miss madude wasikuchanganye hawa wa puuzi wa chache hatujaanza Leo" piiigaa mawee"
Pole nimekunukuu kimakosa hapo juu.Mshanar Jr watu tume miss madude wasikuchanganye hawa wa puuzi wa chache hatujaanza Leo" piiigaa mawee"
Hahahaaa WA kufikirikaHahahah....! Kumbe kuna ma agent humuuu
Watapata tabu sanaMshanar Jr watu tume miss madude wasikuchanganye hawa wa puuzi wa chache hatujaanza Leo" piiigaa mawee"
Kaka u hali Gani?Pole nimekunukuu kimakosa hapo juu.
Mi mzima Kaka, hofu kwako, nipo nafuatilia mada mbalimbali humu JF.Kaka u hali Gani?
Hah! Sasaaa; ww ni agent wa nani? AntMshanaJr au inakuwaje. Jamaa fulani alisema "Akili za kuambiwa ongeza na zako"Akitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...
Sasa amekua kinara katika mada zote za kishetani hapa jukwaani JF... Na kwa kuwa Jf kila mtu anavutiwa na mada hizi za kutisha na kustaajabisha...basi amepata wafuasi wengi akiwafundisha na kuwaelewesha na polepole kuwaelekeza namna ya kufanya...si tu katika meditation bali pia katika vitu hatari kama viapo vya damu,uzuri wa shetani,eti lucifer sio shetani...na mengine mengi ambayo amekua akiyatoa....
1) Kuweni makini na anayoyasema
2) Na muwaze na kuamua ni kwa faida ya nani mnajifunza haya
3) Mkajiulize je Mungu wenu anafurahia hayo?
4) Na kwann watu wengi mnaotaka sana kujua haya ni wakristu?
5) Muogopeni mno...anataka kuwapotosha imani yenu
Hayo ni maoni yangu..
Mkuu nimemiss sana mada zetu zileWatapata tabu sana
Tunarejea kwa nguvu mpya ari mpya na kasi mpya inshallahMkuu nimemiss sana mada zetu zile
HahahaaaaHah! Sasaaa; ww ni agent wa nani? AntMshanaJr au inakuwaje. Jamaa fulani alisema "Akili za kuambiwa ongeza na zako"
Sawa tunasubiri kwa kishindo cha nguvuTunarejea kwa nguvu mpya ari mpya na kasi mpya inshallah
Dah..Hii thread bado inatrend? Hahaahaa nishaisahau...mzee naona unatrend nayo hatari...Hahahaaaa
Sio mimi ni wafukua makaburi kaka [emoji3] [emoji3] [emoji3]Dah..Hii thread bado inatrend? Hahaahaa nishaisahau...mzee naona unatrend nayo hatari...
A.k.a wakuchoraaaHahahaaa WA kufikirika
[emoji23][emoji12]
Hatari sanaSio mimi ni wafukua makaburi kaka [emoji3] [emoji3] [emoji3]