Mshana JR amebadilisha maisha yangu, vijana wenzangu mtumieni mshana JR kabla hajaondoka duniani

Umefungua ID mpya ili upigie debe ushirikina wako siyo
 
Nimeishiwa maneno ya kusema. Ahsante sana enzo1988 Barikiwa sana 🙏 Mbona kama unanijua nje ya JF naanza kukuogopa 😅😅😅😅😅
 

Heri sana kwako kama Mshana Jr amekuwa na msaada kwako.

Cha msingi tujue hawezi msaidia kila mtu

Au nakosea Mkuu Mshana Jr
 
Mshana Jr ni mtu na nusu.. Aisee sitamsahau kabisa those years 2017 alinisaidia sana sana.. Hakuchoka kunipa mawazo na tena kwa roho nyeupe sana bila hata kumjua.. Mwenyezi Mungu aendelee kumpa kila lililo la heri.
Asante dada🙏🏾
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…