Mshana JR amebadilisha maisha yangu, vijana wenzangu mtumieni mshana JR kabla hajaondoka duniani

Mshana JR amebadilisha maisha yangu, vijana wenzangu mtumieni mshana JR kabla hajaondoka duniani

Mshana Jr , huyu ni legend karuka viunzi vingi sana hapa duniani so hakuna tatizo gumu kwake.

Grahams , huyu kwenye masuala ya ndoa anafaa sana coz ana utulivu ,hekima,busara,maarifa, uzoefu na ujuzi kwenye hii sekta!

Pascal Mayalla , huyu kwenye uandishi atakupa uzoefu ingawaje pia kwenye mambo ya kijamii yupo vizuri pia.

Bantu Lady , anapenda sana kusaidia watu na ana moyo wa upendo na ni msiri pia.
Nimeishiwa maneno ya kusema. Ahsante sana enzo1988 Barikiwa sana 🙏 Mbona kama unanijua nje ya JF naanza kukuogopa 😅😅😅😅😅
 
Habari wakuu!

Nikama wiki mbili zimepita nilipata depression, frastruation na kukata tamaa kabisa kwenye Maisha, Hali iliyopelekea kutaka kunywa pombe kuvuta bangi nikiamini ntakuwa sawa.

Nilituma post humu JF juu ya Hali ninayopita Lakini cha ajabu ndugu yangu mshana jr alichukulia uzito wakati ninaopitia, akanambia fanya tuonane, nilifurahi Sana mana ilikuwa ndoto yangu kuonana na mkuu mshana jr.

Mazungumzo yalikuwa ya masaaa 3 maeneo X hapa dar es salaam.
Aisee nilipata counseling ya kutosha
Kuhusu

1.Afya
2.Imani
3.Mahusiano.
4.Uchumi

Aisee baada ya hapo nimekuwa MTU mpya.

Vijana wenzangu 20 kuendelea mtumieni mshana jr kabla hajaondoka duniani.
(Pokea Maua yako mshana jr)
Mimi Sio babalevo
Mimi Sio mwijaku
Mimi Sio doto magari

Mimi ni mtupori_tz

Heri sana kwako kama Mshana Jr amekuwa na msaada kwako.

Cha msingi tujue hawezi msaidia kila mtu

Au nakosea Mkuu Mshana Jr
 
Back
Top Bottom