Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂🤣🤣🤣🤣Ohooooooooo!!!!!
Umenipa nguvu za kumalizia kusoma Kitabu fulani kihusuyo hayo mambo ili niwe mbobevu.Mshana Jr , huyu ni legend karuka viunzi vingi sana hapa duniani so hakuna tatizo gumu kwake.
Grahams , huyu kwenye masuala ya ndoa anafaa sana coz ana utulivu ,hekima,busara,maarifa, uzoefu na ujuzi kwenye hii sekta!
Pascal Mayalla , huyu kwenye uandishi atakupa uzoefu ingawaje pia kwenye mambo ya kijamii yupo vizuri pia.
Bantu Lady , anapenda sana kusaidia watu na ana moyo wa upendo na ni msiri pia.
Nakupongeza kwa ujasiri wa kuweza kukaa na usiowajua😂😂🤣🤣🤣🤣
Wakati wa jiwe hali ilikuwa mbaya sana.Nakupongeza kwa ujasiri wa kuweza kukaa na usiowajua
Hakika, ila hata sasa si salama, nina ushahidi wa kutosha mno na Uzi nimeuweka humuWakati wa jiwe hali ilikuwa mbaya sana.
we ni mtani wangu, ukizumgumiziwa vibaya nakuzungumzia vizuri na ukizungumziwa vibaya nakuzungumzia vizuri!! umejua kuteka saikolojia za wanazengo!!🤣Za kwako zinakutosha mwenyewe😂😂😂
Nimefurahi sana kuona post yako classmateThis is very positive feedback mazee....
Mshana Jr pokea 🌹🥀 yako
Nazidi kuimarika tangu walipo niondolea chest tube.Brother unaendeleaje kwanza nipo Dom nimeingia jana usiku sana
Mimi sikuwahi kuonana naye lakini aliwahi kunishauri vitu kadhaa ambavyo vimenisaidia kwa kiasi flani mpaka natamani siku moja nisafiri kwa ajili ya kuonana naye!Habari wakuu!
Nikama wiki mbili zimepita nilipata depression, frastruation na kukata tamaa kabisa kwenye Maisha, Hali iliyopelekea kutaka kunywa pombe kuvuta bangi nikiamini ntakuwa sawa.
Nilituma post humu JF juu ya Hali ninayopita Lakini cha ajabu ndugu yangu mshana jr alichukulia uzito wakati ninaopitia, akanambia fanya tuonane, nilifurahi Sana mana ilikuwa ndoto yangu kuonana na mkuu mshana jr.
Mazungumzo yalikuwa ya masaaa 3 maeneo X hapa dar es salaam.
Aisee nilipata counseling ya kutosha
Kuhusu
1.Afya
2.Imani
3.Mahusiano.
4.Uchumi
Aisee baada ya hapo nimekuwa MTU mpya.
Vijana wenzangu 20 kuendelea mtumieni mshana jr kabla hajaondoka duniani.
(Pokea Maua yako mshana jr)
Mimi Sio babalevo
Mimi Sio mwijaku
Mimi Sio doto magari
Mimi ni mtupori_tz