Mshana jr Anaongoza Asilimia ya Kupata Likes

Mimi like zangu zote Invisible alizichukua zote pamoja na kuwataarifu wamekataa kurejesha like zangu, plz Invisible naomba urejeshe like zangu zote maana mlizipoteza kipindi mnafanya ukarabati
 
mbna jichawi na Likud sijawaona....Ila ngabu namkubali sana hasa Kule international forum na hakuna siku alyonichekesha km siku alyoleta ile video ya bibi wa Korea anatangaza habari na gauni km gagulo la shetan
 
Mkuu tutafikatu nadhani wewe ndio huna mpinzani una zaidi ya asilimia 72
Inaoneka unacheza na Quality unatembea kwa viwango flani vya juu sana.

Big up

mshana jr japo unabobea zaidi kwenye ulozi kitu ambacho ninamlengo nacho hasi lakini uko vizuri saana. You are multipurpose
 
Nikiwa na mwaka mmoja ndani ya Jamiiforum

TRANSCEND ( asilimia Tafuteni tuu)

Massages: 2065

Like Received : 308

Trophy Points: 83
 
Kuna watu wana ID zaidi ya 5 wakiunga like mshana hata 10 bora hakai
 
True kabisa,nashawishika sana kuamini unachokisema,maana otherwise watoa riwaya kina vinneboy na @lara1 wangekwepo on top of the list The Boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…