Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi like zangu zote Invisible alizichukua zote pamoja na kuwataarifu wamekataa kurejesha like zangu, plz Invisible naomba urejeshe like zangu zote maana mlizipoteza kipindi mnafanya ukarabatiNilikuwa naangalia conversion rate ya post kwa wachangiaji wakubwa ishirini wa JF. Ni sawa na kumtafuta striker bora mwenye shot conversion rate kubwa.
Nimeshangazwa kuona post za mshana jr kupata asilimia kubwa ya likes (14.4%). Anafuatiwa kwa mbali na akina Evelyn Salt (9.4%), The Boss (7.2%), miss chagga (6.7%), Mmawia (5.2%), Nyani Ngabu (4.1%) na wengineo.
Bahati mbaya sana JamiiForums - Official Robot ndio ina asilimia ndogo za likes (0.1%) na hivyo kuwa wa mwisho.
Ila kupata likes JF ni kugumu kama kusaka pesa. Ungekuwa mpira basi mshana jr ni kama Messi au Ronaldo!!!
1. mshana jr (14.4%)
Messages: 36,333 Likes Received: 5,237 Trophy Points: 113
2. Evelyn Salt (9.4%)
Messages: 29,211 Likes Received: 2,757
3. The Boss (7.2%)
Messages: 32,301 Likes Received: 2,315 Trophy Points: 113
4. miss chagga (6.7%)
Messages: 35,865 Likes Received: 2,419 Trophy Points: 113
5. Mmawia (5.2%)
Messages: 31,171 Likes Received: 1,633 Trophy Points: 113
6. Nyani Ngabu (4.1%)
Messages: 56,852 Likes Received: 2,359
7. Ruttashobolwa (2.4%)
Messages: 33,307 Likes Received: 789 Trophy Points: 113
8. MziziMkavu (1.8%)
Messages: 37,260 Likes Received: 680 Trophy Points: 113
9. FaizaFoxy (1.5%)
Messages: 44,596 Likes Received: 682 Trophy Points: 113
10. Asprin (1.5%)
Messages: 39,403 Likes Received: 602 Trophy Points: 113
11. Mzee Mwanakijiji (1.5%)
Messages: 32,372 Likes Received: 488 Trophy Points: 83
12. Katavi (1.4%)
Messages: 33,342 Likes Received: 472 Trophy Points: 83
13. Ritz (1.3%)
Messages: 39,504 Likes Received: 531 Trophy Points: 113
14. Heaven on Earth (1.1%)
Messages: 35,119 Likes Received: 403 Trophy Points: 83
15. BAK (0.4%)
Messages: 43,970 Likes Received: 177 Trophy Points: 0
16. Watu8 (0.3%)
Messages: 45,784 Likes Received: 132 Trophy Points: 63
17. Rutashubanyuma (0.2%)
Messages: 41,160 Likes Received: 75 Trophy Points: 48
18. MaxShimba (0.2%)
Messages: 36,640 Likes Received: 73 Trophy Points: 48
19. Kongosho (0.2%)
Messages: 36,170 Likes Received: 60 Trophy Points: 48
20. JamiiForums - Official Robot (<0.1%)
Messages: 41,671 Likes Received: 34 Trophy Points: 48
Ha ha haa mshana umemsikia huyo! Big up bro jus keep going #mshana jr[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Yupo chanel ten sasa anaharisha cjui kala maharage ya wapi leo???Yericko nyenyere hayumo
Piga hesabu vizuri mkuuNina likes 165 kwa post 600
Means kila. .post na likes 4
Fanya approximationPiga hesabu vizuri mkuu
True kabisa,nashawishika sana kuamini unachokisema,maana otherwise watoa riwaya kina vinneboy na @lara1 wangekwepo on top of the list The BossI believe kuna a lot of errors with it...
kuna siku nilikuta nime win trophy kwa likes nyingi kwa post moja
while later on kuna post zilizopata likes nyingi kuliko hiyo waliyonipa trophy...
nafikiri accuracy yake sio kubwa
kuna members wengi anaanzisha threads zinakaa na kuchangiwa sana
but huoni chocchote kilichoongezeka..
mfano tazama wenye threads za riwaya....