Mshana jr Anaongoza Asilimia ya Kupata Likes

Ivi unashangaa nn kwa mtu aliyetukuka kwa uchawi na ulozi kupata likes nying?? Yale anayoyaleta huku kama maada ni nadharia na practicals ujue anafanya
 
Na ukitaka komenti chache tu achana na na likes tu andika ishu za kiteknolojia mfano tujifunze kutengeneza software unaweza ukakuta wiki nzima kuna likes 2 na replies 13.
 
OmG,yaani nimempita mkuu Watu8 kwa likes?mkuu em rudia research yako duh...jama msichoke name kunitupia tupia tulike na mie siku moja nionekane star humu(kidding).
Hapo wameangalia notable members wale wenye post nyingi humu jf.
 
Mtoa mada ur not fair mm kuanzia mtu wa 17 nimempita kwa likes tutendee haki money bag mchango wng utambuliwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…