Mshana jr Anaongoza Asilimia ya Kupata Likes

Pamoja na pumba zangu ila natakiwa niwe wa pili nina 10.2%....... 1260/12344*100

Nafikiri pia wamebase kwenye idadi ya posts, maana naona kati ya hao mwenye chache ana 29,000.

Inakuwa kama ranking za matokeo ya shule kitaifa, kuna yenye watahiniwa zaidi ya 30 na chini ya 30.

Make mimi pia nina kama 15.8%, yaani 1100/6,920*100.
 
Umesema vyema mkuu....bila hivyo ingekua dharau kwa wakongwe wa humu ndani imagine likes zangu ni nusu ya post zangu sasa si ingekua kuwavunjia heshima huku kina mshana jr Nyani Ngabu na wengine
 
Mimi nina 33%......
Posts 1621
Likes 621

Sina mpinzani ingawa ni underground & kapuku
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Subiri usifiwe usijisifu
 
Hapo kumbuka kuwa likes zilifutwa. Ishu ikaanza upya kabisa ila post(messages) ziliachwa kama zilivyo. Ndo unakuta mtu ana posts 5000 ana likes 200
 
Halafu nahisi kuna uchakachuaji kwenye hizi likes...

Kuna mda zinapungua na kuna mda hata uongezewe no inasoma ile ile

Cc: Invisible
 
Njoo nina dawa bora kabisa...naniliu inarudi kama ya mtoto kabisa [emoji23] [emoji104] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Tupiamo basi hata ka picha tuone itakavyokua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…