Kumbe ushamkula mshana my wii[emoji87]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Sijamla ila si unajuaga maswali ya watu wa mkoani wanajuaga kulana tu
[emoji102]Huyu kashindikana, hadi kwenye ungo[emoji134] [emoji134]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Na wewe unazunguka sana. We muulize tu....Mshana we ni mganga au siyo mganga. Akupe jibu, umueleze matatizo yako. Xmonks huwa hawana noma.
Hahhahahaaaa [emoji102] [emoji102]Kaanza na Mashaalah.
Nilitupiwa!!! Jiangalie dogo.Hafai hata kidogo huyo bibie na hata hakumaliza mwezi kwa tabia yake kwa nilivyosikia alitupiwa virago vyake usiku na alilia balaaa[emoji1] [emoji15] [emoji124]
Ndio anavyokudanganya nawe unaamini? Utapelekwa kwa Manyau nayu tu maana ndio nyota yake ilipo.Hebu uniambukizage hiyo nyota ya kupendwa namie bwana lols