Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wapo wangapi eeh?ndo nshafika sasa mambo gani umeayaanza haya kumbe unaniaga unakwenda kwenye meeting ofisini kumbe huko huku aiseee
Duh Mshana anabadilisha sana wachuchu... kweli nimeamini uganga una faida zake huyu jamaa kama Panga la Shaba kajiipulia Betina na Zena
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ila kuna mtu sitamani afike huku[emoji25] [emoji25] [emoji25]
wapo wengi dizaini kama yakeKwani wapo wangapi eeh?
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Basi haya.
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115]Mmhu.
Umenikumbusha mbaaaaaliiii...
[emoji23] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kwani wapo wangapi eeh?
he! mkuu kumbe unamachepukochepuko hivi! niachie hata mmoja sasa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Penda sana yeye [emoji7] [emoji7] [emoji8]kumbe huyo ndo mama yeyoo! basi nawatakia kazi njema!
kama umeanza kujisifu nitagairi ntamfuata sasa me nafsi uma jamaniPenda sana yeye [emoji7] [emoji7] [emoji8]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]kama umeanza kujisifu nitagairi ntamfuata sasa me nafsi uma jamani
[emoji12] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] loh acha vitukoMume mwenyewe ni mshana"
Jovin Kwanini unataka kumfukuzisha mume wangu kazini?
Hii ni kama umeligonga gari la trafiki Polisi.
Ile thread ataijutia sana.... Imemuweka hadharani sana bibie... kuanzia kimo, kabila, jina halisi la mumewe etcMume mwenyewe ni mshana"
Jovin Kwanini unataka kumfukuzisha mume wangu kazini?
Pepo la ngono toooooooooka kwa jina la Yesu.PUMZIKO LYRICS BY LADY JAY DEE
Mwambie wataka kuja
Huru apate kuachia
Maamuzi yako upange
Bila kuwa wake upande
Huoni we wateseka?
Kwake u kama mateka
Wahitaji pumziko
Nipo kwa ajili yako
Njoo nikupe fundisho
Achana na vyake vituko
Nipo kwa ajili yako
Njoo upate pumziko
[Verse 1]
Umkalishe kitako
Sema nae taratibu
Hii nafasi ni yako
Usijitie aibu
Kwani na mimi mwenzako
Nasubiri kukutibu
Sitochoka kusubiri
Hadi unipe majibu
[Chorus]
Mwambie wataka kuja
Huru apate kuachia
Maamuzi yako upange
Bila kuwa wake upande
Huoni we wateseka?
Kwake u kama mateka
Wahitaji pumziko
Nipo kwa ajili yako
Njoo nikupe fundisho
Achana na vyake vituko
Nipo kwa ajili yako
Njoo upate pumziko
[Verse 2]
Hana mapenzi juu yako
Kwako yeye miyeyusho
Wahitaji suluhisho
Achana na vituko
Nini anataka kwako?
Muulize akueleze
Sitochoka kusubiri
Hadi unipe-unipe-unipe majibu
[Chorus]
Mwambie wataka kuja
Huru apate kuachia
Maamuzi yako upange
Bila kuwa wake upande
Huoni we wateseka?
Kwake u kama mateka
Wahitaji pumziko
Nipo kwa ajili yako
Njoo nikupe fundisho
Achana na vyake vituko
Nipo kwa ajili yako
Njoo upate pumziko
Mmh, aah, ah ah
Mmh, aah
[Chorus]
Mwambie wataka kuja (uh mwambie)
Huru apate kuachia
Maamuzi yako upange
Bila kuwa wake upande (bila kuwa wake upande)
Huoni we wateseka? (wa… teseka)
Kwake u kama mateka
Wahitaji pumziko
Nipo kwa ajili yako
Mwambie wataka kuja